Msanii huyu mwaka uliopita alikuwa nchini jamaica kwa ajili ya kurekodi album yake ya kwanza ya rege,Snoop Lion au wengi wanamfahamu kwa jina la Snoop doggy,HIvi karibuni amepigwa biti kali toka kwa viongozi wa kundi linaloitwa Ethio-Africa Diaspora Union Millennium Council kwamba amejiinga katika imani za kirastafarai kwa ajili ya kazi zake za kimuziki tu na hana imani za kikweli
Watu hao ambao wamemuandikia waraka wenye kurasa zaidi ya saba wamesema kuwa kuwa mvuta bangi na kuupenda muziki au utamaduni wa bob marley sio ndio kigezo cha kujiita rasta,na wamemtaka kuacha kutumia jina hilo la lion la sivyo ataadabishwa.
soma zaidi hapa
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!