Opareshene maalum iliyoandaliwa na wanachi wa nigeria wakishirikiana na askari wa polisi,Imefanikisha kukamatwa kwa mtu mmoja ambaye imeelezwa kuwa ni kiongozi wa kundi la Fulani na amekutwa na mafuvu matano ya binadamu huko mangu,Nigeria
Msemaji wapolisi amesema kuwa Operesheni hiyo ilikuwa ni kwa ajili ya kuhakikishwa au kukagua silaha za moto zinazomilikiwa kinyume na sheria na walipofika katika nyumba ya mtuhumiwa huyo ndipo laipokamatwa na mafuvu hayo aliyokuwa ameyaficha juu ya dari la nyumba yake hiyo.Pia watu kadhaa walikamatwa na polisi kutokana na kukutwa na silaha za moto wanazomiliki kinyume na sheria
Operesheni hiyo ilikuwa imeeandaliwa kutokana na kuongezeka kwa idadi ya mauaji na matukio ya kijambazi katika eneo hilo la mangu.
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!