SWALI HILI LIMEKUWA LIKIULIZWA NA WANAUME WENGI SANA WAKITAKA KUJUA NI SEHEMU AU MAENEO GANI WANAPASWA KUWAGUSA AU KUWAKISS WAPENZI WAO AMBAZO ZITAWAFANYA WAFURAHI,,.NA MIMI SIO MCHOYO WA MAARIFA,,NIMEAMUA KUANDIKA POST HII KWA MSAADA WA MAKALA MBALIMBALI NA BAADHI YA MAJIBU TOKA KWA WANAWAKE WENYEWE KUWA HZI NDIO SEHEMU ZAO "HATARI" AMBAZO WANAPENDWA WASHIKWE NA WAPENZI WAO..
1.NYWELE ZAO
wapo baadhi ya wanawake ambao wanpenda wshikwe na wachezewe nywele zao taaratibu huku stori za hapa na pale zikiendeleea
2.NYUMA YA SHINGO YAKE
Pia baadhi ya wanawake wanApenda wAshikwe na kuchezewasehemu ya nyuma ya shingo zao.
3.SEHEMU YA JUU YA KIFUA
Hapa mwanaume unachotakiwa kufanya ni kama unamkanda hivi mwenza wako ili kumchangamsha na kumuweka fresh mpenzi wako
4.MGONGO
Hapa namaanisha ni sehemu iliyopo katikati ya mgongo ambayo ipo kama mfereji flani hvi(uti wa mgongo) basi hapa unafanya kama unamsugua hivi taratibuu kisha unamkandakanda kwa mapozi hku mkiendeleza stori zenu
5.NYUMA YA MAGOTI
This area is a power house of sensitive nerve endings. Unaweza ukawa taaratibu unamchezea sehemu hizi chini ya sketi yake na hii itampa raha sana mwenza wako kwani hii sehemu kwa utafiti wanawake wengi wameonesha kuipenda sana hasa wanapoguswa na wapenzi wao
KWA LEO ZINAWATOSHA HIZO ILA KAA MKAO WA KULA SIKU SI NYINGI NITAKUJA NA MUENDELEZO WA MADA HII KATIAK KUMALIZIA SEHEMU 5 ZILIZOBAKI...ASANTE SANA KAMA UNA CHOCHOTE CHA KUONGEZEA,AU KUCHANGIA UNAWEZA KUACHA COMMENT YAKO HAPO CHINI
AU WEWE KAMA NI MWANAMKE AU HATA KAMA NI MWANAUME UNAWEZA KUNITUMIA SMS NA UKANIAMBIA SEHEMU GANI UNAPENDWA KUGUSWA NA MPENZI WAKO NASI TUTACHAPISHA HAPA 0719 698 698.

Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!