MAY D APATA MTOTO WA KIUME @PHOTOS

IKIWA NI SIKU CHACHE ZIMEPITA TANGU MWANAMUZI PETER OKOYE WA P SQUARE KUPATA MTOTO WA KIUME, MSANII MWINGINE TOKA NCHINI NIGERIA ANAYEFAHAMIKA KWA JINA LA MAY D NAYE AMEZAWADIWA MTOTO WA KUIME PIA KUTOKA KWA MKE WAKE MPENZI DEBORAH

Comments