Sitaki chuki na Mtu mwaka huu-CHIKU

mtam
Wadau wa muziki nchini wameshauriwa kudumisha ushirikiano baina yao ili kufanikisha jitihada zinazifanywa na wasanii mbalimbali za kuifanya fani hiyo kuwa na mchango unaotakiwa kwa pato la wasanii, uchumi wa nchi na kupunguza tatizo la ajira nchini. Wito huo umetolewa na msanii Chiku Ketto aka Chiku KeiBalaa, wakati alipofanya mahojiano na Jukwaa Huru, ambapo pamoja na mambo mengine, msanii huyo alifunguka juu ya anachokifanya sasa, mikakati yake kwa mwaka ujao pamoja na namna atakavyoukumbuka mwaka unaoelekea ukingoni wa 2012.

Comments