Dereva mmoja ambaye alikuwa tayari ameshakunywa kinywaji kikali amehukumiwa kifungo cha miaka 6baada ya kumuua tajiri yake katika ajali gari akiwa high-speed.
Christopher Howson, 29, amesababisha kifo hicho akiwa katika harakati za kumuwahisha bosi wake huyo aliyekuwa amepakia siti za nyuma.
Howson,alipopimwa kama alikuwa ni mzima alikutwa akiwa amelewa sana na aliyapita magari kadhaa kabla hajaenda kugonga mbele ya ukuta wa nyumba.yeye mwenyewe amejeruhiwa kidogo lakini bosi wake alipata majeraha makubwa yaliyosababisha kifo chake

Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!