DIAMOND AKITAMBULISHA MKOKO WAKE MPYA

Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ akiwa na gari lake jipya la kifahari aina ya Toyota Land Cruiser Prado alilonunua kwa shilingi milioni sabini na tano.Kama unavyoona hapa chini!!! msanii huyu anazidi kupata mafiniko zaidi kila siku zinavozidi songa!!!!hongeraaaaa sana diambond,zidisha heshima kwa mashabiki wako na jamii kiujumla kwani tambua wana nafasi ya kipekee katika mafanikio yako

Comments