NEW VIDEO-AY FEAT CHALI

baada yakukamilika kwa shughuli nzima ya kushoot,sasa mzigo upo hewani!!! ni ngoma mpya ya Ay feat Marco chali inayofahamika kwa jina la Party zone.vdeo hiyo iliyifanyika nchini south africa sasa imekamilika

Comments