RIHANNA AKATAA KUONGELEA UGOMVI WA DRAKE NA BROWN

Kutokana na ugomvi mkubwa uliotokea wiki iliyopita katika club moja ya usiku huko New york kati ya Chris brown na mwanamuziki mwingine anayefahamika kama  Drake,Mwanadada rihanna amekataa kuzungumzia suala hilo kama ilivyodaiwa kuwa yeye ndio sababisho la ugomvi huo.


Rihanna alipohojiwa na mtandao wa tmz kuwa chris na drake walipigana kwa ajili yake na kusababisha watu kadhaa kujeruhiwa.aligoma kuzungumzia suala hilo.

Comments