Timu ya taifa ya Italy imefanikiwa kuingia nusu fainali
za euro 2012 baada ya kuifunga kwa penati timu ya taifa ya Uingereza.
Timu ya Italy imefanikiwa kuingia nusu
fainali za euro 2012 kwa kuifunga timu ya taifa ya England kwa jumla ya
goli 4-2 baada ya kutoka 0-0 kwa dakika 120.
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!