Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 31 kutoka Toronto, Canada,ambaye ni mlemavu wa miguu amefanikisha kupanda mlima kilimanjaro tena kwa spidi nzuri huku akitumia tu mikono yake.
Spencer West alipoteza mikono yake kutokana na ugongwa tangu akiwa na miaka mitano tu,lakini hiyo haikumzuia west kupanda mlima huo mrefu afrika tena kwa spidi nzuri kwani kwa muda wa siku saba tu aliweza kupanda umbali wa futi 6,552 ili kukamilisha urefu wa mlima huo ambao una urefu wa futi 19,340 kutoka usawa wa bahari.

Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!