NEW LOOK,NEW FLAVOUR@SUNCITY NIGHT CLUB

KAMA UMEWAHI AU HUJAWAHI KUTEMBELEA WILAYA YA MBINGA  MKOANI RUVUMA,NA UKAPENDA KUJUA NI MAHALI GANI UNAWEZA KUJIBURUDISHA AU KUFURAHIAWEEKEND YAKO BASI NI HAPO MAHALI PANAPOITWA SUNCITY.NI CLUB PEKEE WILAYANI MBINGA INAYOTOA BURUDANI YA UHAKIKA KILA
 SIKU ZA IJUMAA,JUMAMOSI NA JUMAPILI  KUANZIA SAA 2 USIKU MPAKA ASUBUHI.
LAKINI KATIKA UPANDE WA BAA KILA SIKU MUDA WOWOTE UNAKULA MAISHA.UKIWA NDANI YA SUNCITY UTAWEZA PIA KUANGALIA MOVIES MBALIMBALI BILA KUSAHAU PIA SUPER SPORTS MASAA YOTE. PIA CLUB SUNCITY INATOA HUDUMA YA MZIKI KATIKA MIKUTANO,HARUSI N.K

Comments