RIHANNA AKIFANYIWA" MAKE UP" KWA AJILI YA VIDEO YA WIMBO WA "WHERE YOU HAVE BEEN"
RIHANNA
RIHANNA
Katika hali isiyotarajiwa msanii maarufu duniani Rihanna robin Fenty aka Rihanna hivi karibuni aliamua kuwaonesha mashabiki wake wa facebook ni namna gani mungu kambarikia umbo zuri na lenye kila sifa ya urembo.Picha hizo ambazo zilipigwa katika moja ya maandalizi ya video ya wimbo wake mpya wa "Where Have You Been, zilitummwa na rihanna katika wall yake ya fb bila kuona aibu wala nishai.
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!