Anajulikana sana kutokana na kazi nzuri anayoifanya kupitia video mbali mbali za wana muziki wa bongo kwa kuuza sura katika nyimbo zao.jina lake kamili ni Agness gerald mabaye mpakasasa amesha cheza video nyingi sana za hapa bongo.baadhi ya video alizo cheza ni pamoja na masogange,nangoja ageuke,gubegube,izzo bussines n.k.
KIKWAZO: Agness amewahi kusema kumekuwa na tabia ya baadhi ya mastaa wa bongo muvies "kuwapotezea" sana warembo wanaocheza katika video za muziki wa bongo.hivyo kuwaomba kuacha tabia hiyo kwani zote ni kazi na kila mtu anakula jasho lake.
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!