Justin Timberlake na Jessica Biel sasa waamua kujiachia

Timberlake na Jessica Biel katika pozi
Japokuwa hakuna uthibitisho kutoka katika vinywa vyao wenyewe kama wana mpango wa kuoana hivi karibuni,wapenzi hao walikutwa wakifurahi pamoja katika viwanja vya Staples Center,katika mechi ya los angels lakes dhidi ya Denver Nuggets jumamosi iliyopita ya 12 may 2012.wapenzi hao walionekanawakiwa hawana wasiwasi na waandishi wa habari  waliokuwepo viwanjani hapo

Comments