Hushauriwi kula vyakula hivi wakati wa kulala

Utafiti unaonesha kuwa watu wengi sana wana penda kabla ya kulala wapate vyakula fulani fulani ili viwape usingizi wa raha,ili uweze kulala kwa amani na furaha basi unatakiwa kujua kuwa kuna vyakula ambyvo ukila wakati wa kulala vitakupotezea raha yako ya usingizi.
Vifuatavyo ni vyakula ambavyo hushauriwi kula wakati wa usiku.

1.Pasta
kwa sababu ni rahisi kuandaa watu wengi san wanapenda kutumia chakula hiki wakati wa usiku.Pasta ina full of carbohydrates. kama ukila pasta kisha ukaenda kulala, carbohydrates inaweza kukusababishia kuongezeka kwa mafuta zaidi mwilini (fat). pia pasta ina kiwango kikubwa cha glycemic index ambayo ina kiwango kikubwa cha sukari . kama unavyojua kiwango cha sukari kinaharibu mfumo mzima wa mzunguko wa damu hivyo kusababisha mfumo wa upatikananji wa usingizi pia kutokufanya kazi vizuri

2.Ice Cream
A scoop of ice cream at night might be the most delicious bedtime treat; however, it is not as soothing as people may think. Ice cream is full with fat. Eating it at night will allow the body to burn all the fat before you get to bed. Furthermore, the sugar content will give you an energy boost which will keep you awake throughout the night.
Some research studies show a correlation between eating food with high-sugar content and nightmares.


3.Alcohol / Pombe
Watu wengi wanaamini pombe husaidia mtu alale vizuri wakati wa usiku; however, this is not entirely accurate. Alcohol does somewhat get people to sleep; however, its effects do not last very long. Research shows that alcohol disrupts the restorative ability of the body during sleep leading to several wake-up calls.
In addition, people that drink alcohol to fall asleep tend to develop a dependency on it, which ultimately causes a serious addiction problem.  

Comments