RIHANNA ALALAMIKIA WEMBAMBA WAKE
Rihanna, 24, alizungumza na KIIS-FM radio amefunguka kwamba diet yake inamkataa kabisa siku hizi.Amesema kwa muda wa mwaka mmoja sasa akiwa anaitangaza almabu yake ya tano ya LOUD anazidi kupungua uzito kila siku zinavyosonga mbele.. Japokuwa anakula vizuri na kujipangilia ratiba nzuti ya kula bado imeonekana kutomsaidia kabisa kumuongezea uzito wake."Nashindwa nifanye nini kwa sasa nimejaribu nimeshindwa"anasema rihanna.
0 comments:


