NICKI MINAJ APATA DILI LA MAMILION KUTOKA PEPSI

        KUTOKA KATIKA KUNDI MACHACHALI LA YOUNG MONEY,MWANAMUZIKI NICKI MINAJ  AMESAINI MKATABA MNONO NA KAMPUNI YA VINYWAJI LAINI YA PEPSI.

      MSEMAJI WA KAMPUNI HIYO AMESEMA KUWA TAYARI NICKI AMESHASAINI MKATABA MZITO WA MAMILIONI YA PESA UTAKAOWEZESHA KUTANGAZA KINYWAJI KIPYA CHA KAMPUNI HIYO KINACHOITWA POP.HAYA DADA!!!! KAZI NI KWAKOOOOOOOOOOO

Comments