Muigizaji wa Harry Potter jera miaka 2

MAHAKAMA IMEMUHUKUMU MMOJA WA WAIGIZAJI WA FILAMU ZA HARRY POTTER MIAKA 2 JERA BAADA YA KUKUTWA NA HATIA YA KUHARIBU MALI  ZA WATU KATIKA MAANDAMANO YALIYOFANYIKA HUKO ENGLAND MWEZI WA NANE MWAKA JANA.
   
  JAJI Simon Carr AMEMUHUKUMU Jamie Waylett, AMBAYE ALIIGIZA KAMA  Hogwarts bully Vincent KATIKA MOVIE SITA ALIZOCHEZA NA HARRY POTTER, MIAKA MIWILI JERA KUTOKANA NA KURUSHA MABOMU NA KUHARIBU MALI NYINGI.AKISHIRIKIANA NA KUNDI LA WATU WALIONZISHA MAANDAMANO HAYO MWAKA JANA.

WAYLET PIA ANAHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUIBA SHAMPENI KATIKA SUPERMAKET MOJA MAARUFU,PIA SIKU ZA NYUMA ALISHAWAHI KUWA NA KESI YA KUKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA

Comments