BAADA YA KIMYA KIREFU KILICHOTOKANAN NA MAMBO FLANI YA KIFAMILIA,MKE WA MWANAMUZIKI JAY Z,BEYONCE AMETAJWA KUANZA RASMI SHUGHULI ZAKE ZA MUZIKI NA TAYARI SHOW KADHAA ZIMESHAMUHUSISHA MDADA HUYO KUTUMBUIZA.BEYONCE AMBAYE KWA SASA NI MAMA AMETAJWA KUWEPO KATIKA SHOW ZITAKAZO FANYIKA TAREHE May 25, 26 and 27 KATIKA Revel Resorts casino ILIYOPO Atlantic City, N.J.
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!