vituko uswahilini pt 2

  • Majamaa wanne walichelewa mtihani. Mwalimu alipowauliza sababu, wakasema tairi imepata pancha na walikuwa wanasukumaa gari. Mwalimu akawaambia sawa sio tatizo, akawambia atawapa mtihani wao tafuati. Akawaweka wote vyumba tofauti, swali likawa moja tu la mtihani,

    "Nitajie tairi gani lilopata pancha kwenye gari yenu?"


  • "Mwanamahesabu na Changudoa.

    (Changudoa);Goli moja kitandani sh.10000,goli moja kwenye sofa sh.5000 na goli moja kwenye nyasi sh.2000.(Mteja akatoa sh.10000). (Changudoa);Kweli wewe pedeshee,nilijua tu utataka kitandani. (Mteja);Nani pedeshee?,hiyo hela ni ya goli tano za kwenye nyasi.....! "

    Bwahahhaaaa...

    Kishoga kimemdaka mwizi akiruka ukuta nyumbani kwake, Kishoga badala ya kuumpa kichapo, akaanza kupasha kwanza

    "Heee! makubwaa! hawa wizi siku hizi? Mwizi gani mchafuuu! looh! basi ukoge, suruali chaafu. Na ndo nini kutujia tumbo wazi? ndo ututishee?? heehee, halooo humtishi mtu! hayoo manyweleee? ulikuwa unakuja kuiba kitana? au sabuni? maana uchafu umezidi shosti..."

    Na lile jizi lilovokuwa senge limekaa linasikiliza linvyo pashwa, uso kajiinamiai!
  • Chizi mmoja alichukua spanner na kwenda bank.
    Mlangoni alikutana na askari na kumuuliza "unakwenda wapi na hio spanner?"
    Chizi akajibu "Nakwenda kufunguwa account..."
    Askari hoi!!!

  • ‎"Uncle Admin i do not understand why all the girls in our village do not want to do anything with me... me just want a girl to marry ooo.... Please ask your friends for their sistahz uncle... please show them this photo ... i am a presentable guy uncle Admin..."


    Kishoga kimoja kiliingiliwa na popobawa. Na sharti lake utangaze au atakujia tena. Kile shoga hakikutangaza, na siku ya pili akaandaa udi na asumini. Popobawa akamrudia siku ya pili, kuingia akakuta chumba kimefukizwa na kimejaa asumini. Popobawa mwenyewe akashtuka na kuogopa, ikabidi amwambie kile kishoga:
    "Sorry, I am not ready for commitment!!" .. popobawa mbiooo!
  • Jamaa mwoga alikuwa anapita makaburini usiku. Akamwona mtu anachonga kwenye jiwe la kaburi, akaona usalama kwamba hayuko peke yake. Akamuuliza "Mzee mbona unafanya kazi usiku?", yule mtu akamjibu "Sipo kazini! wamekosea jina langu, nimetoka kurekebisha!". Jamaa kazimia!

  • Nakusahauri kama unataka kushushuliwa, bora ushushuliwe na mwanamke! Khanithi mpevu atafanya korodani zisinyaee! Matusi mpaa ukaogee..

    ‎"Kunya anye kuku, akinya bata kahara!" Tena jee? Kwani uongo? bata hanyi, anabwaga haro tu!

Comments