timbulo |
Kuna nyimbo nimezisikiliza hivi karibuni katika mitandao tofauti tofauti toka kwa KUNDI ZIMA LA X-MALEYA ambazo ni tchokolo na mwingine unaoitwa yelele.baada ya kuzisikiliza ndipo nikagundua hii kitu,kuwa huyu msanii wetu anaitwa Timbulo anafanya kazi ya kuzirudia nyimbo hizo kwa kiswahili.Yaani anachofanya ni kunakili melodi ya muziki wa maleya na kubadili kwa maneno yake mwenyewe.
x maleya |
x maleya |
Sikuweza kujua kama kuna makubaliano yoyote kati ya Timbulo na X-maleya kuhusu copy hizo au ni usanii tu uliofanywa na Timbulo.
nitamtafuta Timbulo ili atueleweshe kuhusu hiyo ishu then nitawaletea majibu kupitia hapa hapa.TABASAMU
HIXI HAPA CHINI NI COPY NA ORIGINAL
MALEYA-YELELE
TIMBULO-DOMO LANGU
ALAFU PIA SIKILIZA NA HIZI HAPA UONE COPY N PASTE ZA TIMBULO
HAYA SASA HIZO NDIO KAZI NNE AMBAZO SIJAZIELEWA IMEKUAJE KUAJE?? LABA MDAU WANGU UNA CHOCHOTE CHA KUCHANGIA KUHUSU NYIMBO HIZO!!! USISITE,COMMENT HAPO CHINI ILI TUJADILI PAMOJA
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!