JUSTIN BIEBER & SELENA GOMEZ,JAY Z NA BEYONCE KAMA KUMBI KUMBI WEEKEND HII

 Kwanza kabisa Justin Bieber na Selena Gomez wakajiachia mpaka  Sushi Dan Rockin' Sushi kwa ajili ya kupata chakula cha mchana kisha baadae kidogo wakaelekea kuangalia muvi pamoja Arclight.



                                                    haya yote yamefanyika weeked hii

                                           haya bwana kila la kheri vijana wangu!!! hahahahah

WAKATI HUO HUO
mtu mzima Jay  z na mkewe Beyonce au mama Ivy nao hawakuwa nyuma.wao wakiwa na mtoto wao walienda lunch katika restaurant moja maarufu pale new tork itwayo Sant Ambroeus Restaurant hebu wacheck hapa chini. 





Comments