Mchekeshaji maarufu wa marekani Dave Chappelle kuonekana tena katika kipindi cha NBC's "Saturday Night Live" tarehe 12 Nov mwaka huu.
Mchekeshaji huyo ambaye alisumbua na series yake ya vichekesho ya mwaka 2013 iliyoitwa"Chappelle's Show," Ata host show hiyo kuanzia mida ya 11:30 p.m. Eastern time siku ya jumamosi