NAHODHA SIMBA AWATIA NGUVU WANA SIMBA

Nahodha wa club ya simba amesema kuwa tofauti ya point 8 iliyopo kati yao na yanga haiwaogopeshi.zaidi wanahakikisha kuwa ubingwa ni wa kwao hata kama watatofautiana kwa pointi moja tu.Bwana jonas mkude pia amefunguka kuwa msimu huu ligi ni ngumu na kila timu imejipanga vizuri lakini ushindi ni wa kwao