Mwanzoni mwa wiki hii zilisambaa habari kuwa lilia(yule model wa video ya diamond,salome) ameuwawa na watu wasiojulikana.Lakini habari hizo hazina ukweli wowote kwani Liliani amejitokeza na kusema kuwa aliyeuwawa ni mtu mwingine sio yeye
Ukweli ni kwamba Lilian sio Msichana aliyeuwawa, aliyeuwawa ni mwingine huko Arusha na Polisi wamethibitisha kuuwawa kwake.