MAPENZI-FANYA HIVI ILI KUONGEZA HAMU YA TENDO KAMA UMECHOKA


Hili ni tatizo kubwa sana la wanawake. Kwa kifupi ni kosa kubwa ambalo hutibua vichwa vya wanaume wengi. Kwa nini ugomee kufanya tendo ikiwa huna sababu? Leo hutaki, kesho tena unakataa, kwa kifupi unakuwa mwingi wa kupinga kuliko kukubali.
Kuna dhana kwamba unakuwa umechoka. Ngoja nikwambie kitu kuwa kama nia ipo, hilo tendo linaweza kutumika kumaliza uchovu kabla ya lenyewe kutendeka. Baada ya hapo unaweza kulala ukiwa na uchovu mtamu, utakaokufanya uote njozi njema, kuliko ule wa mwanzo wa misuguano ya kimaisha.
Unaona mwenzi wako anahitaji na wewe umechoka, usimwambie “nimechoka usiniguse”, jilainishe kwenye mikono yake halafu mwambie akukande mwili (masaji). Atakavyokuwa anakufanyia masaji taratibu kwa maelekezo, itakusaidia kukaribisha hali ya kuhitaji tendo.AHSANTENI

0 comments: