MOMBA KUWASHA MOTO NDANI YA SUNCTY CLUB MBINGA

MSANII ANAYEKUJA JUU KATIKA GEMU HILI LA BONGO FLAVA ,MOMBA ANATARAJIA KUFANYA BONGE MOJA LA SHOW KATIKA CLUB SUNCITY WILAYANI MBINGA JUMAPILI YA KESHO (03JUNE 2012) KUANZIA MIDA YA SAAMBILI USKU KWA KIINGILIO CHA T,SHILLINGS 5000/= TU.MOMBA AMBYE ANATESA NA NGOMA KAMA VILE KABWELA NA MI SIO SHAROBARO BILA KUSAHAU DAR ES SAALAM ATAWASHA MOTO HUO CLUB SUNCTY CHINI YA NEXT LEVEL DJS TOKA PANDE HIZO.USIKOSE MKAZI WA MBINGA RUVUMA

.

Comments