MMILIKI WA FACEBOOK AOA AKIWA NA MIAKA 28

MMILIKI WA MTANDAO WA KIJAMII WA FACEBOOK,Mark Zuckerberg AMMEAMUA KUMUOA MCHUMBA WAKE AMABYAE AMEDUMU NAYE KWA MUDA WA MIAKA 10,Priscilla Chan,<27> MAPEMA JUMAMOSI ILIYOPITA. MARK HAKUSITA KUBADILI MAELEZO YAKE YA UHUSIANAO KATIKA STATUS YAKE YA FACEBOOK.NA KUMTAJA PRISCILLAKAMA MKE WAKE Chan,ambaye pia amemaliza masomo yake ya medical katika chuo cha University of California, San Francisco.alitembelewa na wageni zaid ya 100 katika kumpongeza yeye na mumewe mark kufikia hatua hiyo ya kuoana

Comments