STAR WA MOVIE YA "LOST" APIGWA MARUFUKU MATUMIZI YA POMBE

.Matthew Fox Ambaye amefanya vizuri katika muvie ya lost amepigwa marufuku matumizi ya pombe na kuendesha gari kwa muda wa mwaka mmoja.star huyo ambaye tareh 04 may mwaka huu alikamatwa akiwa anaendesha gari huku akiwa tila lila na hakuwa na leseni ,pia mapema wiki hii amekuwa na kesi ya kumpiga mwanamke.hivyo hali hiyo inaonekana dhahiri mwaka huu ni mbaya kwa mathew.

Comments