JUSTIN BIEBER APATA JERAHA JICHONI


Baada ya kujigonga vibaya usoni katika vioo vya chumba alichokuwa anabadirishia nguo katika ziara yake ya huko paris alhamisi iliyopita ,justin bieber ametuma picha katika mtandao kuonesha jeraha hilo.Bieber amesema kuwa sasa jicho lake lilipooza hivyo kushindwa kuligeuza geuza kama mwanzo.lakini hali hiyo haikumzuia bieber kufanya show moja ya maana ijumaa iliyopita french.bieber alitumbuiza nyimbokama vile  one time,baby na love me

Comments