beyonce aanza vituko vyake

Katika kuonesha kwamba alivimiss sana vivazi vyake vya ajabu ajabu kutokana na ujauzito,mwanadada beyonce ameonekana katika steji  huko Atlantic City.weekend hii katika akiwa katika vazi moja matata sana na muonekano mpya kabisa utadhani sio mama wa mtoto.
Show hiyo pia ilihudhuriwa na first lady Michelle obama ambaye ni mke wa raisi wa marekani Barack obamma

Comments