SIMBA NA YANGA IPI TIMU BORA YENYE WASHABIKI WENGI ??? INGIA HAPA KUIPIGIA KURA TIMU YAKO SASA


 


HUU NI USHABIKI WA KIUTANI TU WADAU.......Kama wewe ni shabiki wa simba au shabiki wa yanga basichini kabisa ya hii post kuna sehemu ya kucoment... na mwisho wa mwaka huu tutahesabu kura zote na kutangaza mshindi kadri ya kura zenu...... hii imeandaliwa na website hii na wala hakuna malipo yoyote yatakayofanyika ni jambo la kuburudishana tu.....SIMBA NA YANGA IPI TIMU BORA, SIFIA TIMU YAKO KADLI UWEZAVYO ILA USITUKANE