JE USHACHEKA LEO?? SOMA HAPA



'Wazo la leo'                      "HATA UWE NA KUMBUKUMBU VIPI HUWEZI KUKUMBUKA TAREHE YAKO YA KUOTA MAVUZI....???? KAMA UONGO TAJA.

SOMA BARUA YA BABU KWA UMAKINI MKUBWA   "Mimi ni Mchungaji Ambilikile Mwaisapile-Babu wa loliondo, nawashukuru wajinga wote walio acha  kazi zao nakuja kutalii katika kijiji cha Samunge, Nasema Asanteni sana,Pia nawashukuru wazinzi wote waliodhani Ukimwi unaweza kutibiwa kwa sh 500, wakati mwingine muwe na akili ya kufikilia.

   Wamatengo walienda Bar wasijue aina ya vinywaji watakavyotumia; ghafla wakaingia wachaga watano wakaagiza lete Kilimanjaro 5. Wamatengo wakajua kila mtu anaagiza cha kwao, wakamwita mhudumu, Weee! tuletee Litembo 2, Maguu 1, Kipololo 4, Lundumato 2, Mbuji 4, Nangombo 2, Matili 1 na Ngima 3. Mhudumu kwa hasira akawajibu TWEE! NGAKUBA IJOMWIKE.

Wageni wa siku hizi hawana hata makuu...mgeni wa siku hizi akija haulizi chai wala soda, mgeni wa siku hizi akifika cha kwanza kabisa utamsikia ETI UNA CHAJA YA PINI NDOGO 

****************************
Mke: Naomba tuongee mume wangu
Mume: Ongea
Mke: Ni kuhusu huyu house girl wetu
Mume: Hilo ni tatizo lako, halinihusu
Mke:Ana mimba
Mume: Hilo ni tatizo lake, halinihusu
Mke: Kasema ni yako
Mume: Hilo ni tatizo langu, halikuhusu

****************************

Jamaa alikuwa anasafiri kwenda ulaya, akamwambia dereva wake ampeleke airport. Wakiwa njiani akakumbuka kuna document amesahau, akamwamuru dereva ageuze gari. Alipofika nyumban akamkuta mkewe akiwa bafunianaoga, akaamua kumnyemelea na kumshika kiuno. mke akiwa na mapovuusoni akalitaja jina la dereva, "We Hancy, umeshamfikisha yule ms**ge Airport? Acha nikuoshee utafaidi mwezi mzima. Je, ungekuwa wewe ungefanya nini?

****************************
Maongezi ya mama mkwe na binti wa kileo
Mama mkwe: Binti samahani lakini, kusema ukweli mtoto hafanani na kijana wangu
Binti: Bila samahani mama, huku chini nina njia ya uzazi na sio mashine ya photocopy! Tena ukome kunifatilia

****************************
Leo watoto kuanzi miaka mitatu kushuka chiniwameandamana kuelekea ustawi wa jamii kudai kuibiwa jina kao la BABY na kupewa watu wazima na mindevu yao na matiti yao wanaitana BABY. Vipi wewe unahusika na unyanyasaji huo?

**************************** 
Mwalim: ee john, nitajie wanyama kumi wa porini.
John: simba watatu na tembo saba
 

Padre na sister wakiwa safarini walikosa nyumba ya wageni wakapata chumba kimoja wakalala wote ila wakatenganisha kwa kuweka mto katikati,asubuhi na mapema wanatoka wanakuta geti limefungwa na hakuna mtu,
PADRE; Turuke ukuta!!
SISTER;Nyoooo!!umeshindwa kuruka mto uutaweza ukuta!!

0 comments: