DOWNLOAD HAPA WIMBO WA JOHNNY YES (kiddo) FT ZAHIR ZORRO-MPENZI GUITOR

 Mwanamuziki Mzaliwa wa mbinga-ruvuma aliyekuja juu katika muziki anayejulikana kwa jina la Johnny Yes kabla hajabadili jina kutoka kwenye KIDDOH mpaka JOHHNY YES ,ameibuka katika game ya muziki kwa kushirikiana vyema na mwanamuziki mkongwe katika tasnia ya muziki nchini Tanzania, Zahir ally Zorro katika wimbo wake mpya uliobatizwa jina 'Mpenzi guitar'.


SIKILIZA HAPA NILIPOMUULIZA KUHUSU UJIO WAKE MPYA ALIKUWA NA HAYA YA KUSEMA "Naandaa track nyingine kali ya R&B ambapo ndani litapigwa guitar tamu na mtaalam Joel ambaye alikuwa PS"

0 comments: