MSANII DIAMOND PLATNIUM HIVI KARIBUNI KUPITIA KITUO KIMOJA CHA REDIO AMEFUNGUKA KUWA KWA SASA ANA RATIBA MFULULIZO ZA SHOW MPAKA MWEZI WA SABA.
KAULI HIYO IMETOKANA NA SWALI ALILOULIZWA KUWA ETI NI KWELI SASA HVI MSANII HUYO AMESHUKA KIMUZIKI NA SHOWS.NDIPO DIAMOND ALIPOTOA KAULI HIYO YA KUWA SASA HUWEZI KAUFANYA NAE SHOW MPAKA ZIARA ZAKE ZOTE ZIISHE MWEZI WA SABA 2013