SIMU ZA KICHINA KUFUNGIWA BONGO!!
KWA WALE AKINA YAKHEE KAMA MIMI HAPA TULIOONA TUMESAIDIWA KWA KIASI KIKUBWA KATIKA SUALA HILI LA MAWASILIANO HII HABARI NI YA MASIKITIKO SANA KWETU.MCHINA ALITULETEA SIMU HADI ZA TSH 20000 LAKINI HIVI KARIBUNI WENZETU WA KENYA,WALITOA TAMKO LA KUZIFUNGIA SIMU ZOTE AMBAZO NI "MADE IN CHINA" NA KUWATAKA WANANCHI WOTE KUTUMIA SIMU ORIGINAL,
TANZANIA NAYO SASA IMEANDAA MPANGO HUO,AKIONGEA NA GAZETI LA SUNDAY NEWS KUTOKA TCRA
Mr Semu Mwakyanjala AMESEMA KUWA SASA WAMEANDAA NJIA ZA KUWAELIMISHA WATU JUU YA MATUMIZI YA SIMU ORIGINAL TU NA HIVO KUZUIA KABISA MATUMIZI YA SIMU ZA KICHINA AMBAZO NYINGI ZIMEONEKANA KUWA NI FEKI.
0 comments: