MWAKA UNAISHA,UTAVUNA ULICHOPANDA-NAY WA MITEGO

AKIONGEA NA MTANDAO HUU MSANII MKALI  WA BONGO FLAVA AMESEMA KUWA KATIKA KUHAKIKISHA ANAUAGA VIZURI MWAKA 2012 NA KUKAMILISHA 2013 AMEWAPA BONGE MOJA LA ZAWADI MASHABIKI WAKE.
AKIJIBU SWALI LILILOULIZWA NA NASMILETZ KUHUSU JAMBO GANI KUBWA ANAFUNGIA MWAKA 2012,NEY ALISEMA HIVI

"Kuna kazi inatoka inaitwa utavuna ulichopanda,imefanyika shine rec, prod: mr t touchez."so fans wangu wajiandae kupata ladha nyingine tena!!


Comments