NILISHAWAHI KUJISAIDIA MAKUSUDI KITANDANI KWA DEMU WANGU-HAMMER Q
VITUKO VYA MASTAA
Hammer q yeye kituko ambacho amewahi kukifanya katika maisha yake ya ukubwabi ni hii hapa kama alivyofunguka yeye mwenyewe katika kujibu swali langu la kituko gani alichowahi kukifanya??nae akajibu hivi
""Nishaiba sana machungwa na mafenesi kipindi niko rika la kati na ukubwani nilishawahi jisaidia haja kubwa tena makusudi kwenye godoro la dem wangu ktk chumba chake nilienda kwake sikumkuta wakati alishanambia yupo kwake nikaona ili ajue km nilipita kwake nikapiga kimba kisha nikatandika shuka""
HICHO NDICHO KITUKO ALICHOWAHI KUKIFANYA MSANII HAMMER Q,ALIYEWAHI KUTESA NA NGOMA LA LADY.JE UNA NINI CHA KUSEMA JUU YA KITUKO HIKI??? USISITE KUSEMA HAPA CHINI..COMMENT
0 comments: