KAVA LA FILAMU MPYA ALIYOFANYA SHARO MILIONEA

.
Hilo ndio kava la movie mpya ya Marehemu Sharo Milionea ambayo alicheza na watu mbalimbali akiwemo Mzee Majuto na mtoto wa mzee Majuto ambae ndio huyo hapo kushoto anaitwa Hamza Majuto, hili ndio kava la hiyo movie kwa sasa lakini kama picha za Sharo Milionea zilizo kwenye soft copy zitapatikana basi itabadilishwa.
Bado familia ya Majuto iko kwenye mazungumzo na kampuni ya zamani aliyokua akifanya nayo kazi Sharo Milionea ambayo ndio ina picha za Sharo zilizo kwenye soft copy, mazungumzo ya mwanzo yamehitaji walipe pesa kuzipata hizo picha kwa kiasi kisichopungua milioni moja za kitanzania ila bado yanaendelea, 

soma habari hii kwa kina zaidi http://millardayo.com/sharo-2/

Comments