JE WAJUA!! MATUMIZI YA IPAD NA BLACKBERRY NI HATARI KWA AFYA YAKO
Utafiti unasema kuwa ukiwa na tabia
ya kuangali televisheni hadi usiku mpevu kila mara basi unakaribisha
maradhi ya moyo au depression.-kudorora kwa afya.
Profesa Samer Hattar Marekani
anasema utafiti umegundua kuwa televisheni na komputa ya iPad inatoa
mwanga usistahili wakati mwili unahitajika kulala.
Hivyo kutumia iPad na televisheni usiku
sana inaweza kusababisha maradhi ya moyo au mtu kukosa raha maishani au
kutompenda starehe au mkuwa mtu pweke, kutumia iPad au televsiheni kila
mara usiku sana kunasababisha upweke.
PIA

Mtumiaji wa simu ya Black berry pia anaweza kuwa na uvimbe au vipele mshavuni, usoni.
Wanasayansi wanasema yeyote mwenye matatizo ya Allergy basi aepuke kutumia simu ya Blackberry.
0 comments: