MATUKIO YALIOTOKEA SIKUKUU YA XMASS MBINGA MJINI@PHOTOS


Sikukuu ya krismass imeshapita na mengi yametokea mabaya kwa mazuri katika siku hiyo ya jana Tanzania nzima na nje ya Tanzania.Miongoni mwa matukio hayo yaliotokea ni kama ifuatavyo hapa wilayani mbinga-ruvuma.

AJALI

SEHEMU HII IMEFUNIKWA DIMWI LA DAMU BAADA YA AJALI
Ilikuwa ni saa 3 usiku wa tarehe 24/12/2012 katika mkesha wa krismas ambapo ajali mbaya iliyohusisha magali mawili kugongana katika barabara kubwa ya halmashauri karibu na Tawi la benk ya NMB mbinga.,na kusababisha kifo cha mtu mmoja.kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wanasema kwamba gari moja aina ya 110 iliyokuwa mwendo kasi iligongana na gari nyingine ambayo ni taxi katika njia panda ya barabara hiyo na kusababisha gari hiyo kuhama njia na kusababisha kuwajeruhi watu kadhaa waliokuwa wanatoka kanisani kwa ajili ya misa ya usiku, kabla haijaenda kumgonga dereva bodaboda aliyekuwa amepaki kando ya barabara hiyo.Baada ya kumgonga ilimtupa mtaroni na kumlalia kwa juu huku dereva na wa pikipiki na pikipiki yake wakikandamizwa chini na kusababisha kifo cha dereva huyo papohapo.Polisi inamshikiria mikononi mtu mmoja ambaye ni dereva wa 110 aliyefahamika kwa jina moja la juma.Hata hivyo jina la dereva boda huyo halikufahamika.

MENGINE
Siku hiyo karibu kila bucha la nyama mambo yalikuwa kama ifuatavyo.foleni mwanzo mwishoooooo

 
FOLENI YA NYAMA BUCHANI


POMBE SIO CHAI

Hawa walifumwa wakiwa tilalila na kisha kuuchapa usingizi wa maana.wamezima mbaya



Hana habari
pombe si chai!






































DISCO VUMBI 
Sio wote wanauwezo wa kwenda klabu.kamera yetu iliwafuma hawa nao wakila bata kwa staili ya kipekee sana.mziki ulifungwa nje na watu wakafanya mambo kama unavyoona picha


ubunifu

derva bodaboda akiwa ameiedit pikipiki yake

Comments