Daktari aelezea jinsi "wowowo" la Nicki Minaj lilivyotengenezwa

Kama ulikuwa unajua kuwa ule muonekano wa Nick minaj katika maeneo ya maumbile yake ya  nyuma ni asili yake,basi ulikuwa hauko sawa ,bali huo ni aina flani ya upasuaji uliofanywa na wataalamu.Wanawake wengi sana siku hizi wanapenda kuwa na makalio makubwa lengo lao likiwa halijulikani moja kwa moja kwa kuwa kila mmoja ana lake moyoni.Lakini hapa leo nakuletea kituko kingine toka kwa nicki minaj na daktari wake,ambaye amefunguka jinsi wataalamu walivyoweza kuyafanyia "mod" makalio ya msanii huyo machachari sana.

      Dr. Michael Salzhauer anasema hivi kama ilivyonukuliwa katika maelezo yake, “It looks like Rapper Nicki Minaj may have had a Buttócks Augmentation and most likely with a technique known as a Brazilian Buttlift. This procedure consists of liposuctioning different parts of the body and then taking that fat and re-injecting it into the patient’s buttócks. This procedure creates a very full and round buttocks.”

Comments