Victoria Beckham anyoa nywele zake


Hizo ni picha ambazo victoria beckam amezituma katika mtandao wa tweeter akionyesha muonekano wake mpya baada ya kupunguza nywele zake nakubakiwa nazo kidogo tofauti na alivyozoeleka mwanzoni kwa kuwa na nywele ndefu.

Comments