SERIKALI IPIGE MARUFUKU SHOW ZA UCHI KAMA HIZI (PHOTOS)


KATIKA KIPINDI CHA MWAKA MZIMA SASA MAKUNDI MBALIMBALI YANAANZISHWA KWA KWA AJILI YA KUTOA BURUDANI "FEKI" KWA RAIA WETU..MAKUNDI HAYO AMBAYO SASA YAMEKUJA NA STAILI YA KUCHEZA NUSU UCHI KAMA SIO UCHI KABISA NA WATU KUYAFURAHIA,

KIUKWELI SERIKALI YETU INABIDI ISIFUMBIE MACHO SUALA HILI KWANI NI UPOTOSHAJI W MAADILI YA KITANZANIA UKIZINGATIA KATIKA SHOW HIZO PIA KUNA BAADHI YA WATOTO WANAHUDHURIA

BAADHI YA MAKUNDI HAYO YANAJIITA KHANGA MOJA,MAPOUKA NA BAIKOKO SASA YAMEDHIDI KUSHIKA KASI NCHINI