ILI UJUMBE WAKO WA KUTAFUTA RAFIKI AU MCHUMBA UENDE HEWANI TUMA TSH 500 KWENDA MPESA 0762698698 AU TIGO PESA 0719698698
NAMBA YA KUTUMA SMS NI 0719698698
naitwa thomas natafuta mchumba wa kuoa sifa awe msabato anyempenda mungu umri 18-27 kwa alie tayar tuwasiliane 0755693987 usibp
Naitwa mohamed natafuta rafiki wa kike kutoka mbeya awe mnene kiasi,tuwe marafiki kwanza mambo mengine yataendelea.cont 0652787713
Mimi ni kijana ( mvulana) wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28. Ni mwenyeji wa mkoa wa Mbeya lakini kwa sasa naishi nje ya mkoa wa Mbeya ambako natafuta maisha. Dini yangu mkristo (Moravian), nipo singo, sina mototo, sijawahi kuoa. Mwonekano wangu wa nje ni; mweusi, mwembamba, sio mrefu wala sio mfupi sana. Situmii pombe wala sigara.
Nipo serious katika swala hili. Natafuta rafiki wa kike kwa uhusiano serious utakaoishia kwenye ndoa na kuanzisha familia kama tukiridhiana na kuelewana. Nahitaji msichana mstaarabu na anayejiheshimu aliyetayari kuingia kwenye ndoa, na si anayejaribu au kufanya mzaha kwani mimi nipo serious na sitaki kupotezeana muda au kusumbuana kwa hiyo kama hauko serious usisumbuke kunitafuta.
KWA MWENYE VIGEZO HIVYO TUWASILIANE KWA no. 0752 827 646 AU 0713 908 229 AU EMAIL; masterdetective1985@gmail.com.
Naitwa sebastian wa dar es salaam natafuta mchumba mwenye miaka kat ya 18-22.no angu ni sms na simu zote zitajibiwa 0766239601.
natafuta shugamammy lolote lenye uwezo wakunitunza niko moro naitwa nash cheq me 0717781493
by rehema
mm mwanamke nina miaka 30,mkristo,nipo Dar na sina mtoto ila naishi kwa matumaini.Natafuta mchumba mwenye status km yangu,anayejipenda na anayejua kupenda,awe na miaka zaidi ya 30,sms zote zitajibiwa,pls anitafute tu aliye serious.my email rehemasimon2@gmail.com
Yap, its me seeker namtafuta shori la kuchat nalo kama yuko tayari anitafute 0765141980
Natafuta msichana wa kujenga urafiki naye kwa kujuana na kisha kuendelea hadi uchumba. Email yangu fulana2010@yahoo.com
naitwa singo naishi Dar es salaam, natafuta mke. aliyetayari kuolewa anitafute kupitia Email yangu then tutapeana namba. singoaleni@yahoo.com
Is Edwin of 24, looking fo pret chrstian worshper girl under 21. Kilimanjaro is where im.. but geita is hom. email me here [edu.pioneer72@gmail.com] thank.
natafuta mpenzi wa kike.mi naitwa yohana mtweve.awe mkazi wa mbeya.mi npo chuo teku,awe mwadilifu na wa din yeyote.kwa dada aliye tayari atume sms AU ANIPIGIE 0715509113.
natafuta mchumba.awe mkazi wa mbeya.usidipu nitext au nipgie.NIPO TEKU0765509113
Natafuta msichana wa kiislam kwa lengo la uchumba
by salimathuman78
Wasifu wangu
Jinsia: Mvulana
Dini: Muslim
Elimu: Degree and above
Kazi: IT Specialist
Umri: 28 years
Muonekano: Mweupe, mrefu kisai na unene wa wastani
Wasifu wa nimtakae
Jinsia: Msichana
Dini: Muslim mwenye kujiheshimu
Elimu: Certificate or above
Umri: 23-26 years
Kazi: Akiwa na kazi yoyote ile ya halali itakuwa vizuri zaidi kwakuwa maisha ni kusaidiana.
Muonekano: Naimani Mwenyezi Mungu hakumkosea mtu, sina ubaguzi wa rangi, ila itapendeza asiwe mfupi kwakuwa mimi ni mrefu kiasi
Kwa msichana yoyote mwenye vigezo naomba tuwasiliane kupitia salimathuman78@yahoo.com, then namba ya simu itafuata baada ya mawasiliano ya awali. Hiyo e-mail ipo active 24 hrs na email zote zitajibiwa
Ahsante