KUNA WATU WAMEKUWA WAKITUMIA
MITANDAO YA KIJAMII VIBAYA KWA
KUTENGENEZA ACOUNT FAKE WAKITUMIA
MAJINA YA MASTAA MBALIMBALI NCHINI
NA WENGI WAKIFANYA MAMBO AMBAYO KWA KIASI KIKUBWA
YANASHUSHA HADHI NA STATUS YA
WATU,KUPOST TAARIFA ZISIZO NA UKWELI N.K,NA MIM NIKIWA
NI MMOJA YA WASANII AMBAO MAJINA
YETU YANATUMIWA SANA NA WATU KUTENGENEZA
ACOUNT FAKE,NIMEANZISHA ZOEZI LA
KUWEKA WAZI ACOUNT ZOTE AMBAZO NI FAKE NA SIYO ZA
DIAMOND HALISI NA NINAFUATILIA TARATIBU ZA KISHERIA
ILI KUWABAINI NA KUWAWAJIBISHA WALE WOTE WANAOTUMIA JINA LA DIAMOND PASIPO IDHINI YANGUKWA LEO NAANZA NA MTU ANAEJIITA
Diamond Platnumz Swaqq,UKIKUTANA NA
ACOUNT HII IEPUKE,SIYO DIAMOND HALISI...PIA KWA YULE ANAYEHITAJI
MAWASILIANO NAMI YA KIBIASHARA
USITUMIE FACEBOOK MANAN
NYINGI NI FAKE,WASILIANA NAMI KUPITIA EMAIL YANGU YA ..diamondplatnumz@gmail.com AHSANTENI