UKISHAMLIZA KUCHEKA NA HIKI KICHEKESHO!!! SHARE KWA MWENZAKO

NASMILETZ MMILIKI WA MTANDAO HUU
 
Mwanamke zuzu alikuwa na mchumba wake zuzu km yeye, Lkn mwishowe uhusiano ulivunjika.Sasa huyo jamaa alkw akimsumbua sana kumpigia na km2mia sms yule mwanamke kila siku mpaka huyu mwanamke akawa anachukia, Mwisho akaamua abadilishe laini, alipoweka laini ile mpya tu akam2mia sms yule jamaa na kumwambia: Nishabadilisha no hutonipata tena hasidi wewe.Nae yule jamaa zuzu akamjibu: "Nitahakikisha naitafuta hiyo namba yako mpya mpka naipata