Andoya hydroelectric power ndio mkombozi wa wanavijiji wa Mbinga kwani muda si mrefu wataanza kutumia umeme huo ambao utasaidia muleta maendeleo Kwao.umeme huo ambao unatokana an maporomoko ya maji Huko lifakara unategemea kusambaa katika vijiji kadhaa Vya wilayani Mbinga.
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!