MTANGAZAJI WA CLOUDS AVAMIWA NA MAJAMBAZI


ALIYEWAHI KUWA MTANGAZAJI WA CLOUDS FM,FINA MANGO WIKI HII ALIKUTANA NA BALAA BAADA YA KUVAMIWA NA WATU 8 WANAOSADIKIWA NI MAJAMBAZI AKIWA NYUMBANI KWAKE.WATU HAO WALIFANIKIWA KUPORA KIASI CHA FEDHA NA MALI ZINGINE NA KISHA KUTOKOMEA KUSIKOJULIKANA...HAYO YAMEELEZWA NA FINA KUPITIA WALL YAKE YA TWITTER MAPEMA WIKI HII.